GET /api/v0.1/hansard/entries/908990/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 908990,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908990/?format=api",
"text_counter": 168,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, maeneo mengine penye ofisi za pasipoti ni kama Kisumu, Nakuru, Kisii, Embu na maeneo mengine ambapo mwendo ni kama kilomita 100 au 50 kutoka Nairobi. Wale wanaohitaji huduma hizi kwa wingi wamenyimwa nafasi za kuwa na pasipoti. Kwa mfano, pwani nzima, ofisi ya paspoti ni moja tu mjini Mombasa."
}