GET /api/v0.1/hansard/entries/908997/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 908997,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908997/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Olekina",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 407,
        "legal_name": "Ledama Olekina",
        "slug": "ledama-olekina"
    },
    "content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa hii. Ningependa kuhimiza Kamati husika kuangalia kama kuna uwezo wa kuairisha tarehe ya 31Augosti mwaka huu kama tarehe ya mwisho wa kutumia pasipoti za awali."
}