GET /api/v0.1/hansard/entries/908998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 908998,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908998/?format=api",
"text_counter": 176,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Ofisi za pasipoti zinafaa kufunguliwa katika kaunti zote ili Wakenya waweze kupata pasipoti kwa urahisi. Kaunti ambazo zina ofisi za pasipoti ni Nairobi, Mombasa, Kisumu, Uasin Gishu, Kisii na Embu. Kwa hivyo, watu kutoka kaunti zingine watalazimika kusafiri hadi maeneo niliyotaja ili wapate pasipoti zao. Naomba wakati kamati itaenda kuchunguza na kumhoji Waziri katika Wizara ya I nterior andCoordination of National Government wamhimize kufungua ofisi za pasipoti katika maeneo mengine."
}