GET /api/v0.1/hansard/entries/909002/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 909002,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/909002/?format=api",
"text_counter": 180,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Swala la kupata pasipoti katika Kenya haswa kwa jamii ya Waislamu imekuwa ndonda sugu. Mimi natoka sehemu ya Tana River, na huko hatuna ofisi ya kutoa pasipoti kwa watu wetu. Watu wengi katika sehemu hiyo haswa wazee kama babu yangu hawana vyeti ambavyo vinahitajika kama vile vyeti vya kuzaliwa ama vile vya kifo. Sijui tutavitoa wapi kwa vile Kenya ilipata Uhuru mwaka wa 1963 na babu yangu alifariki kabla ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}