GET /api/v0.1/hansard/entries/909003/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 909003,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/909003/?format=api",
"text_counter": 181,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "mwaka huo. Nitapata shida kubwa sana kama nitaambiwa nitafute cheti cha kuzaliwa cha babu yangu ili nipate pasipoti. Kwa hivyo, tungependelea huduma ya kutoa pasipoti ienezwe katika kaunti zote ili Waislamu waweze kutuma maombi yao ya kupewa pasipoti katika sehemu za---"
}