GET /api/v0.1/hansard/entries/909333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 909333,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/909333/?format=api",
    "text_counter": 100,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mwatate, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Kwa kweli, viongozi waliokuweko mbele yetu, na haswa Wabunge, wanaumia sana. Katika Kamati yetu, kila siku, Wabunge wengi huja ofisini kwangu na wengi wao huwa hawana hata nauli ya kurudi nyumbani. Wana magonjwa lakini kununua madawa ni matatizo. Ni lazima tuliangazie suala hili kwa undani kabisa."
}