GET /api/v0.1/hansard/entries/910067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 910067,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/910067/?format=api",
    "text_counter": 35,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Kuna kitendo kimetokea cha kuwapiga akina mama na kimeanzia hapa Bungeni. Ninaomba utusaidie. Hapa Bungeni, tuliambiwa sisi ni endangered species. Leo kuna kitendo kimetokea Bungeni ambapo Wajir County Woman Representative, Fatuma Gedi, amepigwa na mwanamume mwingine. Kama kitendo hiki hakikanywi vikali, sisi wengine tutapigwa."
}