GET /api/v0.1/hansard/entries/910073/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 910073,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/910073/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Bwana Spika, sijui itabidi tutafute askari ili tuje nao ndani ya Chamber kwa maana tunasikia kuna immunity hapa. Ili wengine watunyamazishe, wanataka kutupiga kwani hawajui kwamba wanawake hawapigwi. Especially sisi wanawake wa Coast, wanaume huwa wanatubembeleza. Sisi tunapigwa na leso. Wanatuletea vitu na si kutupiga."
}