GET /api/v0.1/hansard/entries/910460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 910460,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/910460/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ninaunga hoja hii mkono na ningependa kusema ya kwamba kila mtu anapaswa kupewa haki yake. Hiyo isipotendeka, tutakuwa tunaonyesha ya kwamba mnyonge hana haki na mtu ambaye amelima shamba yake ndogo hawezi kupiga kura. Itakuwa pia inaonyesha ya kwamba huyo mtu hana usemi wowote katika ukuzaji wa majani."
}