GET /api/v0.1/hansard/entries/910474/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 910474,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/910474/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Spika. Mimi ni mkristo halisi na sizingatii wala siyafahamu mambo ambayo anajaribu kuyasema. Kwa hivyo ninaweza kustahimili. Ni vizuri tutie maanani kwa hoja hiyo ndiposa tuweze kusema ya kwamba kila mkenya; maskini, tajiri, mlala hoi, mla nyama na mla nyasi, anahaki."
}