GET /api/v0.1/hansard/entries/911041/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 911041,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/911041/?format=api",
"text_counter": 662,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, kuna miradi mingine ambayo imeanzishwa na hizi serikali za ugatuzi ambazo zimekuwa mamlakani kutoka mwaka wa 2013 hadi 2017, na wakarejea tena kwa muhula wa miaka ya 2017 hadi 2022. Miradi hii pia imekwama kwa sababu ya kukosa kulipa wanakandarasi. Tuliwahi kuzuru Kaunti ya West Pokot, ambapo tuliona miradi mingi iliyoanzishwa na Gavana aliyetangulia. Miradi hii imekwama katika serikali ya Gavana wa sasa, Gov. Lonyangapuo. Miradi hiyo imekwama ilhali pesa nyingi zimetumika. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}