GET /api/v0.1/hansard/entries/911042/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 911042,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/911042/?format=api",
"text_counter": 663,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Wananchi wanapata shida kwa sababu miradi ambayo ilikuwa imekusudiwa kama vile zahanati, shule za chekechea, barabara za kutumika kupeleka mazao sokoni haraka na wakati unaofaa. Zote hizo zimekwama kwa sababu miradi hiyo haijakamilika, na sasa imaekuwa donda sugu. Malimbikizi ya madeni inakabili serikali za kaunti. Vile vile, waliofanya kandarasi zile kwa pesa zao na kwa mikopo wanapata shida, kwa kushtakiwa na mali yao kuuzwa na madalali."
}