GET /api/v0.1/hansard/entries/911244/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 911244,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/911244/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Nawapa wabunge wa Uganda kongole kwa kuja hapa kujifunza. Ingawa Maseneta wengine wanasema kwamba Wabunge hawa hawaelewi Kiswahili, naamini kwamba wengi wao wanaelewa Kiswahili. Nina imani kwamba watajifunza mambo mengi sana hata lugha ya Kiswahili. Ningependa kuwashawishi kwamba Kenya ina mahali kwingi ambapo wanaweza kutembea jioni jioni. Kiongozi wa wengi wa Seneti, Sen. Murkomen, anajua sana sehemu ninazozungumzia, kwa hivyo anaweza kuwatembeza jioni."
}