GET /api/v0.1/hansard/entries/911790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 911790,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/911790/?format=api",
"text_counter": 730,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Wakati huu tunapo enda likizo ni wakati mzuri kabisa kwenda kuonana na watu wetu. Vile vile huu ni wakati tunapo hitajika hapa Bungeni na huko makwetu, ili tuende kuona ni mambo gani gavana anayo fanya huko. Tunafanya oversight, kwa kutembea"
}