GET /api/v0.1/hansard/entries/911791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 911791,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/911791/?format=api",
    "text_counter": 731,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "kwenye kaunti na kugharamika kila siku. Natarajia kwamba wakati tutakapo rudi na tutakapo enda wakati mwingine, tutapata pesa za oversight ili kutuwezesha kufika na kuangalia ni yapi yanayo jiri katika kaunti zetu. Kwa hivyo, Bi. Spika wa Muda, nachukua fursa hii kusema asante, kwa sababu tumepata wakati mwema. Ubarikiwe. Asante."
}