GET /api/v0.1/hansard/entries/911898/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 911898,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/911898/?format=api",
"text_counter": 105,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Bw. Spika, nashukuru kwa kunipa fursa hii ili nisema niliyonayo moyoni mwangu kwa sababu ya utendakazi wa kamati zetu. Kuna Kamati zingine zinafanya kazi vizuri kabisa na kukiwa na Petition au swali, wanaita Mawaziri. Lakini kamati zingine haziwaiti Mawaziri. Kwa mfano, nilikuwa na ombi au Petition ya watu ambao wanakufa kule Taita-Taveta kwa sababu ya illegal herders na Waziri hakuitwa. Kuna swala lingine la oil spillage, Kiboko ambalo ninamshukuru Mwenyeketi wa Kamati ya Kawi kwa kumwita Waziri. Sasa, kamati ambazo zinawaita Mawaziri ni gani na zile haziwaiti ni gani? Inaonyesha kuna ubaguzi ya wanaoleta Maswali na umuhimu unaotiliwa maswali hayo. Ningenpenda kusema haya ili yawe katika rekodi."
}