GET /api/v0.1/hansard/entries/912769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 912769,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/912769/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bahati, JP",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": " Ninakushukuru Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia hili jambo muhimu sana katika Kenya. Kwanza, ninaunga mkono mjadala huu kwa maana ni muhimu sana. Lakini ningependa kurudi nyuma kihistoria ili tuweze kuelewa hili jambo la ajali na sheria za barabara."
}