GET /api/v0.1/hansard/entries/912775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 912775,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/912775/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "katika nchi yetu. Hatujalitilia hili jambo maanani kwa sababu ukiangalia miaka ya 2007 na 2008 wakati wa crashes, watu zaidi ya elfu moja walikufa. Na dunia nzima ilisimama to condemn na kusema hayo mambo ni mabaya. Lakini watu zaidi ya elfu tatu wakifa kupitia road accidents, hatuwezi kusimama kama Serikali na kuuliza ni kwa sababu gani. Leo ukipata traffic officers barabarani na usimamishwe, kitu cha kwanza kuulizwa ni"
}