GET /api/v0.1/hansard/entries/912777/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 912777,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/912777/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": ". Kwa nini? Kwa sababu hiyo ndiyo wanawekewa pesa. Kama dereva anapeleka gari mpaka mahali traffic officer yuko, inamaanisha anajua kuendesha gari. Kitu cha kwanza anachopaswa kuangalia ni tyres na stands za gari. Pili aangalie kama hiyo gari iko na shida yoyote halafu aangalie insurance ndio aulize maswali mengine. Wabunge wenzangu, hata tukipitisha hii Hoja ambayo ninaiunga mkono, kama Matiang’i ambaye anasimamia polisi na traffic officers hatasimama imara ili sheria ambazo ziko ziweze kufuatwa, then inaonekana tutazungumza mambo mengi na watu wataendelea kutotii sheria. Kuna mambo nyeti ambayo yanaendelea siku hizi. Tunapitisha sheria lakini watu wa"
}