GET /api/v0.1/hansard/entries/912779/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 912779,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/912779/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "wanapita right, left and any side or corner of the road and can go in any direction . Kama barabara ya mahali fulani ni moja, wanatumia wrong side . Hizi sheria zinastahili kufuatwa. Lakini kuhusu traffic rules, hatujasimama imara. Tunasikia kuna ufisadi na pesa ambazo zinapatianwa huko chini zinakuja zikitambaa mpaka juu na hii ni unyonge. Lazima tuseme"
}