GET /api/v0.1/hansard/entries/912781/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 912781,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/912781/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bahati, JP",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": "na tuchunge watu wetu. Tusiangalie vifo vya watu 3,000 kupitia ajali za barabara peke yake kwa sababu inaweza kuwa mzee au mama amewacha familia na watu wengine wanakuwa viwete. This is a big burden for this country . Ninaomba Wajumbe walitilie hili jambo maanani kabisa. Matiang’i anapaswa aje ili atuambie ni nini kinapaswa kufanywa katika barabara zetu ndio sheria zifuatwe. Tusipofanya hivyo, kuna effects za vifo vya watu 3,000 na tukiangalia vizuri ni kama tumepoteza watu 50,000. Hii ni kwa sababu wengine wanameza dawa ama wamevunjika miguu. Na mambo hayo yote yanatumia pesa nyingi za Serikali wakati tunatafuta pesa za kujenga economy . I think kuna shida, na ninaomba Wabunge wezangu tujadiliane kwa ukweli na kuuliza shida iko wapi na tutafanya nini. Sisi zote tungependa mambo ya vifo yafike mwisho na watu wafuate sheria. Ahsante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia hii nafasi."
}