GET /api/v0.1/hansard/entries/91528/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 91528,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/91528/?format=api",
    "text_counter": 169,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwatela",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Education",
    "speaker": {
        "id": 103,
        "legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
        "slug": "andrew-mwatela"
    },
    "content": " Asante sana Bw. Naibu Spika wa Muda. Nitazungumzia mambo mawili. Kwanza, namshukuru Waziri na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika Wizara hii. Reli ni muhimu sana na inaweza kuokoa barabara zetu. Tumekuwa tukiziharibu barabara zetu kwa haraka kwa sababu zinatumika na magari ambayo yana uzito mkubwa zaidi, na ambayo hayafai kuwa katika barabara zetu. Reli ya kutoka Mombasa kwenda Kisumu na Malaba, reli ya kutoka Voi kwenda sehemu zaTanzania inabomolewa badala ya kujengwa. It is being sold as scrap metal. Tunaomba Bwana Waziri aingilie kati ili reli hiyo irudishwe ili tuweze kuzilinda barabara zetu. Ahsante."
}