GET /api/v0.1/hansard/entries/915920/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 915920,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/915920/?format=api",
    "text_counter": 392,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bahati JP",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": " Thank you Hon. Temporary Deputy Speaker. Ningependa kusema machache kwamba niko katika Kamati hii ambayo inashughulikia mambo ya ardhi. Tulichunguza vile Mwenyekiti amesema, na tulizunguka sana. Ni kweli hawa watu walikuwa ni waadhiriwa kama vile Mwenyekiti amesema. Hao watu walitoka upande wa Rift Valley ambapo kulikuwa na ghasia baada ya uchaguzi ambao kila mtu anajua katika mwaka wa 1992. Hawa ni watu ambao walikuwa na shida nyingi. Mambo mengine hayakufanywa walipopata pahali pa kukaa. Serikali ilichelewa kuwapa vibali vyote. Watu wachache walipata vibali. Vile Mwenyekiti amesema kuna… The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}