GET /api/v0.1/hansard/entries/915921/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 915921,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/915921/?format=api",
"text_counter": 393,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati JP",
"speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Hao watu walipelekwa pale na Shirika la Kuhifadhi Misitu mwaka wa 1992, na kupewa ruhusa ya kujenga mashule. Pia walionyeshwa mahali pa kuzika watu waliokufa. Idara ya Utawala pia ilikubali kuwa watu hao wasipopewa vyeti vya kumiliki mashamba kwa njia ya kisheria kutakuwa na shida."
}