GET /api/v0.1/hansard/entries/916844/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 916844,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/916844/?format=api",
    "text_counter": 24,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kimilili, JP",
    "speaker_title": "Hon. Didmus Barasa",
    "speaker": {
        "id": 1885,
        "legal_name": "Didmus Wekesa Barasa Mutua",
        "slug": "didmus-wekesa-barasa-mutua"
    },
    "content": " Asante, Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Pia nami naunga mkono Petition ya Mheshimiwa Jayne Kihara. Lazima taasisi tofauti za Serikali ziheshimu haki za raia. Hata kama wanaleta maendeleo, lazima pia waheshimu yale maendeleo raia tayari wameweka kwa kutumia pesa zao. Lazima swala hili la mashamba liangaliwe kwa kina. Kama Bunge, najua kuna petitions nyingi ambazo zimewekwa katika kamati tofauti za Bunge."
}