GET /api/v0.1/hansard/entries/917090/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 917090,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/917090/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "ya ugatuzi sioni ni kwa nini Mawaziri wake waitwe Seneti kuzungumzia mambo ambayo ni ya kitaifa na si ya ugatuzi. Lazima tujue mipaka yetu ni ipi. Hapa hakuna cha Bunge kubwa wala Bunge ndogo. Hapa ni, Katiba inasema nini, imetupatia nguvu gani, imetupatia majukumu gani na mipaka yetu itakuwa gani?"
}