GET /api/v0.1/hansard/entries/91864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 91864,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/91864/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kumkumbusha Waziri Msaidizi kwamba masuala kuhusu usalama wa wananchi yanapaswa kuchukuliwa hatua mwafaka ili ukweli ujulikane. Waziri Msaidizi ametuambia kwamba ni lazima atachukua hatua. Ni hatua gani ambayo amechukua tangu tulipoanza kuzungumzia masuala haya ya usalama? Ninamwomba atie juhudi kubwa katika masuala ya usalama."
}