GET /api/v0.1/hansard/entries/918711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 918711,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/918711/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ningependa kuchangia Mswada huu na kuunga mkono Kamati ya Uwiano ambayo ilikaa pamoja katika Bunge zote mbili, na kuandika ripoti nzuri kabisa ambayo tunaweza kusema, kwa wakati huu, tuiunge mkono ili Mswada huu uweze kuwa sheria. Bw. Naibu Spika, Bunge zote mbili zimekaa chini ya uenyekiti wa Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge la Taifa, Mhe. Adan Duale, na kutupatia Mswada huu. Hasa walisisitize kwamba sehemu ya mazingira iangaliwe vizuri katika kutengeneza shirika la Unyunyizaji Maji, yaani Irrigation Board. Pia walinakili vizuri katika kugharamikia pande zote, yaani cost sharing katika kimombo."
}