GET /api/v0.1/hansard/entries/920126/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 920126,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/920126/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Arifa ya Sen. Nyamunga kumpongeza Sen. Halake kwa kuteuliwa kama Mwenyekiti wa Taasisi ya Demokrasia ya Vyama Vingi katika nchi yetu ya Kenya. Bw. Spika, naungana na Sen. Nyamunga kumpongeza kwa moyo wangu wote Sen. Halake kwa kuchaguliwa kwake. Ni jambo la kutia moyo kwamba ni mara ya kwanza kwa Sen. Halake kuteuliwa kama Seneta na kuchaguliwa kama Mwenyekiti wa Taasisi ya Demokrasia ya Vyama Vingi nchini Kenya. Bw. Spika, nimefuatilia kwa karibu utendakazi wa Sen. Halake na ninaona ya kwamba anatosha kuendesha Taasisi ile wakati huu ambapo siasa ya vyama vingi katika nchi hii bado ina msukosuko. Vyama vingi ni vyama vya kibinafsi ambapo mtu mmoja The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}