GET /api/v0.1/hansard/entries/920127/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 920127,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/920127/?format=api",
"text_counter": 71,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "ndiye anaamua maamuzi yote ya chama wakati wanachama wenyewe hawana fursa yote ya maamuzi. Bw. Spika, ningependa kuchukua fursa hii kueleza kwamba bado demokrasia kamili haijakamilika hapa nchini. Hii ni kwa sababu watu wengi bado wanagadamizwa katika haki zao za kibinafsi na kibinadamu. Juzi kule Murang’a, wanafunzi kadhaa walifukuzwa shule kwa sababu walikuwa wamevaa hijab . Nina furaha kwamba aliyechaguliwa kuendesha mambo ya Taasisi ya CMD ni Sen. Halake ambaye anavaa hijab wakati wote anapokuwa Bungeni na nje."
}