GET /api/v0.1/hansard/entries/920424/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 920424,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/920424/?format=api",
    "text_counter": 32,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia na kukaribisha wanafunzi kutoka kaunti ya Baringo. Sina mengi ya kuwaambia wanafunzi hawa bali kuwakumbusha kwamba sisi maseneta tuko hapa kuwakilisha kaunti zetu 47. Nawatakia kila la heri na kuwashawishi wasome kwa bidii ili waweze kuwa viongozi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}