GET /api/v0.1/hansard/entries/920993/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 920993,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/920993/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kuna haja ya kuhifadhi mazingara yetu hasa misitu ya asili na misitu iliyopandwa. Nilipata fursa ya kutembea na Waziri, Tobiko katika misitu iliyopo Tana Delta, Kaunti ya Tana River. Katika kuhifadhi misitu katika kaunti yangu, kuna miti ya Mathenge ambayo inamea kila mahali na inaharibu mazingara. Sehemu ya Tana Delta ambapo tunalisha ng’ombe zetu, Mathenge imemea na kuharibu mazingira yetu. Bi Spika wa Muda, si ukweli kwamba miti yote inatengeneza mazingira. Ukiona athari ya miti ya Mathenge utatambua kwamba miti zingine zinaharibu mazingira. Mathenge inawezamea katika sehemu za ukame na inamea kwa wingi sana. Ina haribu mazingira na kuzia nyasi kumea. Ng’ombe hukosa nyasi hivyo kusababisha uharibifu. Ingekuwa vyema kama---"
}