GET /api/v0.1/hansard/entries/921019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 921019,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/921019/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Asante sana, Bi.Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii kuchangia Arifa iliyo hapa mbele yetu. Kusema ukweli, Mwenyezi Mungu aliumba Wanyama na msitu viwe visaidizi kwa mwanadamu. Vile vile, Serikali ilipokuwa inakataza watu wasikate misitu, walifunga njia lakini hawakufungua njia. Walisema watu wasikate, lakini kuna watu ambao walikuwa wanaishi wakitegemea hiyo misitu. Hawakuwatolea The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}