GET /api/v0.1/hansard/entries/921020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 921020,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/921020/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "njia baada ya kufunga misitu. Ni jambo gani mwanachi wa kawaida atafaidika nacho tena? Wamewacha watu wakiwa wanateseka. Kuna watoto ambao hata hawaendi shule. Shule ni za bure lakini kuna vitu vingine si bure kwa sababu ni lazima mtoto awe na sare ya shule na vitu vingine ambavyo vinahitajika. Vile vile, kuna sehemu zingine, hakuna viwanda vya kazi, wanategemea hiyo misitu wako nayo iwasaidie kwa kuni, makaa na vitu vingine vingi. Waliposema watu wasikate misitu hawakuto njia mbadala."
}