GET /api/v0.1/hansard/entries/921799/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 921799,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/921799/?format=api",
    "text_counter": 255,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Langu ni kukuunga mkono katika kuwakaribisha wanafunzi kutoka Kaunti ya ndugu yangu, Sen. Mwangi, ambaye ni Seneta mtendakazi. Vile vile, ningependa kuwaambia vijana kwamba Maseneta wote waliopo hapa walikuwa vijana kama wao. Walienda shule, wakafanya bidii na hatimaye wamejipata hapa kwa sababu ya kuchaguliwa na wananchi. Pia nyinyi pia mnaweza kuwa Maseneta kama sisi baada ya sisi kustaafu na muendelee kujenga taifa letu. Nawatakia kila la kheri wanafunzi kutoka Kaunti ya Nyandarua. Nafurahi pia kuona kwamba ndugu yangu amefurahishwa sana kwa kuja kwenu."
}