GET /api/v0.1/hansard/entries/921811/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 921811,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/921811/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Musuruve",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13188,
        "legal_name": "Getrude Musuruve Inimah",
        "slug": "getrude-musuruve-inimah"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili kuwakaribisha wanafunzi hawa katika Bunge hili. Wanafunzi hawa ni wachanga, na ni vizuri sana kwao kuwa hapa kwa sababu wataona jinsi tunavyojadili miswada ambayo inawafaidi wananchi. Wanafunzi hujifunza mengi kwa kusikiliza majadiliano yetu kuhusu taifa letu. Bw. Mnenaji, ninawapongeza walimu wa shule hii---"
}