GET /api/v0.1/hansard/entries/922066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922066,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922066/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Spika, kwanza kabisa, nashukuru kwa kukosolewa. Ni lazima Wakenya waelewe shida ambayo tunajaribu kutatua hapa. Bw. Spika, kama wanachama wa Kamati ya Kawi, tutajitolea na kuhakisha kwamba tumefuatilia jambo hili, kwa sababu Wakenya wengi wanaumia. Zile bills ambazo Wakenya wanapata--- Bw. Spika, ukipata taarifa ya matumizi unaona ya kwamba---"
}