GET /api/v0.1/hansard/entries/922075/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922075,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922075/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Mheshimiwa Spika, nashukuru kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Taarifa ya mwenzangu, Sen. Khaniri, kuhusu matumizi ya stima katika nchi hii. Shida ambayo tunapata, kama Wakenya, ni kwamba kuna kampuni ambapo ufisadi umekita mizizi. Hali hii imekithiri hadi kiasi kwamba wafanyikazi katika kampuni hizi wanatafuta namna za kuwaibia na kuwahangaisha Wakenya. Bw. Spika, Kama Bunge, tunapaswa kusimama imara ili tutatue shida hii. Shida hii haiwezi kutatuliwa iwapo tutasema kuwa ni Kamati tu inaweza kuiangalia. Hii ni shida ambayo itatuhitaji sote, Maseneta 68 tunaosimamia Kenya nzima. Tunafaa tuketi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}