GET /api/v0.1/hansard/entries/922078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922078,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922078/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Spika, hilo ndilo swala tunalostahili kujadiliana kwa sasa ili tuweze kujua kama Kaunti ya Narok kuna kampuni ambayo inaweza kuzalisha kawi na kuusambaza huko. Hii itasaidia kumaliza monopoly na kuwasaidia Wakenya wetu. Lakini jinsi tunavyoendelea sasa, hatuwezi kuwasaidia Wakenya."
}