GET /api/v0.1/hansard/entries/922359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922359,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922359/?format=api",
"text_counter": 25,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Spika, nakuunga mkono kuwakaribisha wanafunzi kutoka Kaunti ya Makueni kwa niaba ya Seneta wa Kaunti ya Makueni, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. Nawahimiza wanafunzi watunze mazingara yao kwani ni jambo muhimu. Nawasihi wanafunzi wapande miti shuleni. Sisi ni viongozi wa leo na wao ndio viongozi wa kesho. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}