GET /api/v0.1/hansard/entries/922360/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922360,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922360/?format=api",
"text_counter": 26,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Maafisa kutoka Kaunti ya Nyamira wakitazama Seneti wataona kwamba tunatumia teknolojia kujadili mambo hapa. Hapo mbeleni, tulikuwa tunatumia makaratasi mengi lakini sasa mambo yamebaadilika. Naomba kwamba wakirudi Kaunti ya Nyamira, watumie teknolojia kama Seneti."
}