GET /api/v0.1/hansard/entries/922386/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922386,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922386/?format=api",
"text_counter": 52,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Mhe. Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii ili nichangie mjadala huu kuhusu ukosefu wa nidhamu kwa wanafunzi. Zamani tulipokuwa shule, wakati tulipokuwa “Kidato cha Kumi” ama Form Two, kulikuwa na unyanyasaji wa wanafunzi. Mjadala huu ni wa maana sana kwa sababu katika shule nyingi katika nchi hii, wanafunzi wengi wananyanyaswa ama bullying. Ningemhimiza Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu aweze kutilia maanani jambo hili---- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}