GET /api/v0.1/hansard/entries/922388/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922388,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922388/?format=api",
"text_counter": 54,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, nimesikia Seneta mwenzangu akisema kidato cha kumi. Mahali ambapo mimi nilisomea hapakuwa na kidato cha kumi. Hata hivyo, katika nchi hii ya Kenya, hakuna kidato cha kumi. Nadhani alimaanisha kidato cha pili ama FormTwo. Asante, Bw. Spika."
}