GET /api/v0.1/hansard/entries/922393/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 922393,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922393/?format=api",
    "text_counter": 59,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Olekina",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 407,
        "legal_name": "Ledama Olekina",
        "slug": "ledama-olekina"
    },
    "content": "Bw. Spika, Waswahili walisema, asiyefunzwa na mamake, hufunzwa na ulimwengu. Nimekubali kufunzwa na wenzangu kwa sababu mimi nimefanya direct translation. Nimetafsiri kuwa kile ambacho Wazungu wanasema 10th Grade; ambacho ni kidato cha kumi ukifanya utafsiri huo. Lakini nimeshukuru kuelezwa ya kwamba ni kidato cha pili. Tukiwa hapa, sisi wote tunajifunza. Ili tusipoteze umuhimu wa Taarifa ambayo imeletwa na Seneta mwenzetu, ni lazima sisi kama viongozi tutilie maanani mambo ambayo yanaathiri wanafunzi katika shule zetu. Ni vibaya sana kwa mzazi kumpeleka mtoto wake shule kusoma lakini anadhulumiwa na wenzake. Ikiwa kuna dhuluma"
}