GET /api/v0.1/hansard/entries/922403/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 922403,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922403/?format=api",
    "text_counter": 69,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Lusaka",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana. Ningependa pia kumpongeza Seneta Gatuzi wa Jimbo la Narok kwa kujaribu kuzungumza Kiswahili. Tumruhusu aweze kuendelea kwa sababu hapa tuko kwenye darasa la kujifunza Kiswahili. Jambo la muhimu ni kwamba aweze kueleweka kiasi ili Wakenya wajue yale ambayo anasema. Endelea, Mhe. Olekina."
}