GET /api/v0.1/hansard/entries/922424/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 922424,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922424/?format=api",
    "text_counter": 90,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Kumekuwa na ongezeko la visa vya dhuluma. Mimi pia nilidhulumiwa wakati nilipokuwa shule ya upili. Cha kushangaza ni kwamba bado kuna dhuluma shuleni. Watoto wetu hawafai kudhulumiwa na wengine. Dhuluma shuleni inafaa kukomeshwa kwa sababu inaweza kufanya wanafunzi wa shule za msingi kukataa kwenda shule wakichukulia kuwa shule si pahali pazuri. Kwa hivyo, visa vya wanafunzi kudhulumiwa shuleni vinafaa kukomeshwa."
}