GET /api/v0.1/hansard/entries/922445/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922445,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922445/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, sisi sote hatufahamu lugha ya Kiswahili kwa ufasaha. Wewe ni mtu amabaye umekua ukiona maneno hayo yakitendeka hapa na umekua na roho ya kuweza kuwasikiliza. Mimi ningeomba, Sen. Were ni dada yangu, ana upungufu kidogo wa kuweza kujieleza kwa lugha hii. Kwa hivyo, mpatie nafasi aweze kujieleza katika lugha anayoifahamu sana."
}