GET /api/v0.1/hansard/entries/922446/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922446,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922446/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Lusaka",
"speaker_title": "The Speaker",
"speaker": null,
"content": " Hatutaanzisha mtindo wa kuvunja sheria ambazo tumetunga sisi wenyewe. Kwa sababu ya huo upungufu wake katika lugha hii, atajipanga tena ili aweze kujieleza kwa lugha anayoifahamu kwa ufasaha atakapopata nafasi nyingine. Pia ningependa kuwashauri wengine wetu ambao wana mtindo wa kuchanganya lugha kwamba watumie lugha unayoifahamu kwa ufasaha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}