GET /api/v0.1/hansard/entries/922465/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 922465,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922465/?format=api",
    "text_counter": 131,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13119,
        "legal_name": "Agnes Zani",
        "slug": "agnes-zani"
    },
    "content": "Wanafunzi hawa hupata matatizo wakienda katika shule hizi. Hii ni kwa sababu wenzao huwa wanawaweka katika hali ya kutatanisha na hali ya kuongeza hofu katika mwili na akili zao. Hii ni jambo ambalo limeendelea kwa muda mrefu. Kwa hivyo, ni muhimu ya kwamba tulizungumzie. Itakuwa vizuri kama tunaweza kutafuta mwalimu maalum ambaye kazi yake itakuwa ni--- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}