GET /api/v0.1/hansard/entries/922471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922471,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922471/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Spika. Nampa kongole ndugu yangu, Sen. Orengo, kwa huo ufafanuzi. Katika hoja yangu ya nidhamu, nilikuwa nataka kusema mambo hayo hayo. Ninatoka katika eneo moja na Sen. (Dr.) Zani na ninamheshimu sana. Yeye ni msomi. Katika wale madaktari wanaotoka kule kwetu, yeye yuko katika ulingo wa hali ya juu sana---"
}